Search in the website:

Mguso Wa Jamii

Blog with Sidebar

HAKUNA KUINGIA GOOGLE, FACEBOOK BILA CHANJO YA CORONA

Written by on 29 July 2021

Kampuni ya Google na Facebook yamewataka wafanyakazi wake kuchanjwa kabla ya kurejea ofisini, taarifa hiyo inakuja baada ya kupita miezi 16 ya wafanyakazi kuendesha shughuli zao wakiwa nyumbani kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa COVID-19. C.E.O wa Google, Sundar Pichai ametoa taarifa hiyo kwenye e-mail iliyotumwa kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo, ambayo inaeleza juu ya […]

Read More

MABADILIKO YA TABIA NCHI YAMPELEKA NDALICHAKO UINGEREZA

Written by on 29 July 2021

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako yuko nchini Uingereza kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Washirika Wafadhili wa Elimu Duniani, Global Partnership In Education GPE. Akiwa nchini humo Julai 28, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na majadiliano na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya mabadiliko ya tabia nchi na Athari zake katika utoaji elimu, ushiriki […]

Read More

MIKOA 10 KIPAUMBELE CHANJO CORONA

Written by on 26 July 2021

Serikali imepokea msaada wa chanjo ya Corona kutoka Marekani na kueleza kuwa baada ya kujiridhisha kuwa ni salama utolewaji wake utafanyika nchi nzima lakini kwa kuanza na mikoa 10 ya kipaumbele. Mikoa hiyo ya kipaumbele ni Dar es Salaam, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Kigoma, Singida, Dodoma, Iringa na Mtwara. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, […]

Read More

WYDAD YA MSUVA YABEBA UBINGWA WA MOROCCO

Written by on 15 July 2021

Winga na mshambuliaji Mtanzania Simon Msuva @smsuva27 amefanikiwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu ya Morocco akiwa na kikosi cha Wydad Casablanca. Timu hiyo imebeba taji la Morocco 2020/21 baada ya kuifunga MCO Oudja mabao 2-0. Wydad wamebeba taji hilo wakiwa na michezo mitatu mkononi, wamefikisha pointi 63 katika mechi 27. Facebook Comments

Read More

Load more