Shabiki huyu wa Eminem ameivunja rekodi hii ya Guinness

Nikki Paterson ana ‘tattoos’ 28 mwilini mwake zinazohusiana na rapper kutoka Detroit Marekani, Eminem.

Lakini ni tattoo mpya na ya 15 ya muonekano wa karibu wa Eminem ndio imefanya Nikki avunje rekodi ya kuwa shabiki mwenye tattoo nyingi zaidi za msanii mmoja.

Facebook Comments