Rasmi Klabu ya Asante Kotoko ya Ghana imekamilisha usajili wa golikipa Razak Abarola kwa mkataba wa miaka mitatu

Abarola alikuwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na waajiri wake wa Zamani Azam Fc

Razak hivi karibuni alisimama kwenye milingoti mitatu ya Ghana the black stars kwenye mechi ya kirafiki waliyovheza na Qatar Timu ya taifa na wakaibuka na ushindi wa magoli 5-1

Facebook Comments