Rais wa zamani wa Mali, Amadou Toumani Touré (72) aliyeongoza taifa hilo kuanzia mwaka 2002 hadi Machi 2012 alipopinduliwa na Jeshi amefariki dunia

Kwa mujibu wa taarifa, amefariki akiwa nchini Uturuki ambapo aliwasili siku chache zilizopita kwa ajili ya matibabu. Kabla hajasafiri, alifanyiwa upasuaji wa moyo wa dharura Jijini Bamak

Facebook Comments