Senzo Mbatha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwenye kituo cha Polisi Oysterbay. Inaelezwa sababu ya Senzo kushikiliwa na jeshi la polisi ni kuhusiana na tuhuma za mawasiliano yake na Hashim Mbaga yanayodhaniwa yalilenga kuihujumu Simba (kupanga matokeo) kwenye michezo kadhaa.

Hivi karibuni Hashim Mbaga (aliyekuwa Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki-Simba) alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuihujumu Simba.

Facebook Comments