Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba, Prof. Sifuni Mchome amesema Serikali haijapokea taarifa ya Umoja wa Mataifa (UN) akiongeza kuwa, watu hao wamekamatwa kisheria.

Kupitia tovuti yao, Kamishna wa Shirika la Haki Za Binadam la UN, Michelle Bachelet, alitoa taarifa iliyodai Wapinzani na wafuasi wao 150 wamekamatwa tangu Oktoba 27.

Prof. Mchome amesisitiza Serikali haina taarifa hiyo akisema “Inawezekana kweli wanaongelea Watanzania, lakini inaweza kuwa ni umbea” alisisitiza.

Facebook Comments