Simba 1-0 Yanga
Full Time

Simba wanafanikiwa kutwaa Kombe la Azam Federation maarufu kwa jina la Kombe la FA kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.

Bao pekee limefungwa na Taddeo Lwanga katika dakika ya 80.

Facebook Comments