HENDERSON AONGEZA MKATABA

Nahodha wa Liverpool, Jordan Henderson ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Liverpool hadi mwaka 2025.

Kiungo huyo alijiunga na Liverpool mwezi Julai mwaka 2011 kwa dau la paundi milioni 18 amefanikiwa kuchukua tajioja la UEFA Champions League na moja la Ligi Kuu ya England ‘EPL’.

#TimesFMDigital#TimesFmNiBaraka#HujasikiaBado#MgusoWaJamii

Facebook Comments