Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART), John Nguya ameeleza kuwa wamesitisha safari za Morocco-Kawe na Shekilango-Mwenge sababu ikiwa ni uhaba wa abiria na ubovu wa barabara.
Nguya amesema kuwa usafiri utaboreshwa kutokana na mabasi 210 waliyonayo.
Aidha, wameanzisha safari ya kuanzia katika kituo cha mabasi cha Magufuli kwenda Kivukoni na Kituo cha Magufuli-Gerezani.

TimesFMDigital #TimesFmNiBaraka #HujasikiaBado #mgusowajamii📻🎧🎤

Facebook Comments