Search in the website:

Author: guest01

Mayay

KAULI ZA ALLY MAYAY BAADA YA KUTOLEWA URAIS TFF

Written by on 17 June 2021

SPUTANZA ni chama ambacho huwa kinasikika wakati wa uchaguzi mkuu, huwa tunaendesha chama tunavyojua wenyewe, tunachangishana fedha wenyewe.” “Siyo lazima uwe kiongozi ndiyo usaidie mpira. Mimi ni mwanafamilia wa soka na nitaendelea kutoa mchango wangu itakapohitajika. Sitakata Rufaa.” “Katika maendeleo huwa wapo wanaoumia na wapo ambao wanafaidika. “Mabadiliko mengi hayajafanyika kwa kuwa tafiti hazifanyiki.” – […]

Read More

Raia wa kenya atuhumiwa kwa ugaidi na Marekani

Written by on 17 December 2020

Mwanamume mmoja raia wa Kenya ambaye alipata mafunzo ya urubani Ufilipino anatuhumiwa kwa kupanga njama ya kutaka kuteka ndege na kuigongesha kwenye jumba refu la ghorofa katika mji wa Marekani. Cholo Abdi Abdullah alikamatwa na kushtakiwa baada ya kupatikana na silaha Ufilipino mwisho wa mwaka uliyopita. Waendesha mashtaka hawakutaja ni mji gani alikuwa anadaiwa kupanga […]

Read More

Rapa Pepa amshtaki Daktari kwa kumharibu makalio

Written by on 14 December 2020

Muimbaji wa kike wa miondoko ya kufoka(rapper) kutoka nchini Marekani aliyetamba miaka ya 90′ Sandra Pepa, kutoka kundi maarufu la Salt n Pepa, amemshtaki Daktari aliyemfanyia marekebisho ya makalio yake. Pepa anasema baada ya kupata ajali maumivu yalimuanza na aliamtafuta Dr. David Sayah, ambae alimfanyia marekebisho hayo. Dr.Sayah alimuambia amfanyie upasuaji mwingine tena na kumfanyia […]

Read More

Nana Akufo-Addo achaguliwa tena kuwa Rais Ghana

Written by on 11 December 2020

Mwenyekiti wa Tume ya taifa ya Uchaguzi Ghana, Jena Mensa, alimetangaza matokeo yauchaguziwa Rais mjini Accra, Ghana. Rais Nana Akufo Addo, wa Ghana ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, kwa kupata asilimia 51.6 ya Kura, dhidi mpinzani wake, Rais wa Zamani wa taifa hilo, John Mahama aliyepata asilimia 47.4 ya kura zote. Hii ni mara […]

Read More

MICHEZO: SENZO MBATHA ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI NCHINI, KISA?

Written by on 11 November 2020

Senzo Mbatha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwenye kituo cha Polisi Oysterbay. Inaelezwa sababu ya Senzo kushikiliwa na jeshi la polisi ni kuhusiana na tuhuma za mawasiliano yake na Hashim Mbaga yanayodhaniwa yalilenga kuihujumu Simba (kupanga matokeo) kwenye michezo kadhaa. Hivi karibuni Hashim Mbaga (aliyekuwa Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki-Simba) alikamatwa na Jeshi la Polisi […]

Read More

SERIKALI: HATUJAPATA TAARIFA YA UN KUHUSU KUUAWA NA KUKAMATWA KWA WAPINZANI

Written by on 11 November 2020

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba, Prof. Sifuni Mchome amesema Serikali haijapokea taarifa ya Umoja wa Mataifa (UN) akiongeza kuwa, watu hao wamekamatwa kisheria. Kupitia tovuti yao, Kamishna wa Shirika la Haki Za Binadam la UN, Michelle Bachelet, alitoa taarifa iliyodai Wapinzani na wafuasi wao 150 wamekamatwa tangu Oktoba 27. Prof. Mchome amesisitiza Serikali haina […]

Read More

LISSU ATIMKIA UBELGIJI

Written by on 11 November 2020

Kiongozi wa upinzani na ambaye alikuwa mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema katika uchaguzi wa Oktoba 28 Tundu Lissu ameondoka nchini Tanzania Jumanne (Jana) kuelekea nchini Ubelgiji. Lissu ambaye alikuwa katika hifadhi ya ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania kwa karibu wiki nzima alianzia safari yake kutokea makazi ya ubalozi kuelekea uwanja wa […]

Read More

BIDEN: “TRUMP ANATIA AIBU”

Written by on 11 November 2020

Rais Mteule wa Marekan i Joe Biden amesema hatua ya Rais Donald Trump kugomea kukubali matokeo ya uchaguzi wa Urais wa wiki iliyopita ni “aibu”. Lakini kiongozi huyo mteule ambaye amekuwa akiwasiliana na viongozi wa kimataifa – amesisitiza kwamba hakuna kitu kitakachozuia uhamisho wa madaraka. Huku hayo yakijiri Bw. Trump aliweka ujumbe kwenye mtandao wake […]

Read More