Search in the website:

Author: timesfm Times

Nini kifanyike ili Tanzania ipige hatua katika soka.?

Written by on 14 May 2018

Mchezo wa soka ni taaluma kamili inayojitegemea ambayo ina misingi yake mikubwa kwenye soka la vijana, ambayo wachezaji wadogo au vijana huanza hatua yao ya kwanza kwenye soka, lazima tukubali kuwa hakuna njia ya mkato kwenye mchezo soka nchi yoyote inayotaka mafaniko yake lazima ipite katika misingi sahihi Katika kipindi hichi hutokeaga hatua za awali […]

Read More

Ajisalimisha Polisi baada ya mzigo wa Mahindi alioiba kung’ang’ania kichwani mwake.

Written by on 3 May 2018

Mkazi wa Mbezi, Dar es salaam, Frank Japhet (23) amelazimika kujisalimisha kituo cha polisi Mlandizi, Kibaha, Pwani, baada ya mzigo wa mahindi unaokadiriwa kuwa na uzito wa kg 20, anaodaiwa kuuiba kung’ang’ania kichwani. Kwa maelezo ya mtuhumuwa huyo aliyoyatoa kituoni hapo, mzigo huo wa mahindi, uliofungwa kwenye kiroba aliuiba kwa mama mmoja eneo la mtaa […]

Read More

Mwanariadha Steven Akhwari amerejea Tanzania kutokea Dallas Texas.

Written by on 3 May 2018

Wapenda michezo nchini, Jumatano hii usiku walijitokeza kumpokea mwanariadha mashuhuri wa Tanzania John Steven Akhwari katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Akhwari alikuwa akitokea Dallas Texas nchini Marekani, ambako alizawadiwa nishani ya ‘TUNU ADIMU’ na Watanzania wanaoishi nchini humo kwa kutambua mchango wake katika michezo. Wakiwa wametambua ushawishi wa […]

Read More

Bingwa wa zamani wa Olimpiki kutoka Kenya adaiwa kutumia dawa zilizoharamishwa.

Written by on 3 May 2018

Bingwa wa zamani wa Olimpiki katika mbio za 1500m Mkenya Asbel Kiprop amesema atathibitisha kwamba yeye ni “mwanariadha msafi” baada ya taarifa kuibuka kwamba aligunduliwa akiwa ametumia dawa zilizoharamishwa michezoni. Mwanariadha huyo wa miaka 28 ambaye ni bingwa wa dunia mara tatu alipatikana akiwa ametumia dawa za kuimarisha damu aina ya EPO. Aligunduliwa baada ya […]

Read More