Search in the website:

Entertainment

30 November 2021

Read more

QUEEN DARLEEN KIMYA SANA!

Written by on 30 November 2021

Na @johnharamba Juni 22, 2020 ilikuwa ndiyo mara ya mwisho kwa staa mkongwe wa Bongo Fleva, Queen Darleen kutoa wimbo wa kwake mwenyewe, japokuwa ngoma ilikuwa ni kwa ajili ya kupongeza chama, ikiwa na maana haikuwa ngoma ya biashara. Wimbo huo aliupa jina la CCM Safii, lakini wimbo rasmi wa kazi na wa biashara aliutoa Aprili […]

Read More

15 July 2021

Read more

WYDAD YA MSUVA YABEBA UBINGWA WA MOROCCO

Written by on 15 July 2021

Winga na mshambuliaji Mtanzania Simon Msuva @smsuva27 amefanikiwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu ya Morocco akiwa na kikosi cha Wydad Casablanca. Timu hiyo imebeba taji la Morocco 2020/21 baada ya kuifunga MCO Oudja mabao 2-0. Wydad wamebeba taji hilo wakiwa na michezo mitatu mkononi, wamefikisha pointi 63 katika mechi 27.

Read More

15 July 2021

Read more

INJINIA: YANGA HATUWAPI WACHEZAJI WETU KASHFA YA UKICHAA

Written by on 15 July 2021

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Injinia Hersi Said ametuma ujumbe mrefu wa kumuaga kiungo wao mshambuliaji Haruna Niyonzima ambaye anaondoka klabuni hapo baada ya kumalizika kwa msimu huu wa 2020/21, lakini ametupa jiwe gizani. Injinia ametaja kuwa Yanga haina kawaida ya kuwashutumu wachezaji wake kuwa wana matatizo ya akili. Licha ya kutotaja jina lakini ikumbukwe ni […]

Read More

14 October 2020

Read more

Mashauzi, Kopa ‘bize’ na uchaguzi!

Written by on 14 October 2020

Wakali wa muziki wa taarabu nchini Khadija Omari Kopa na Isha Ramadhani wamesema kwasasa wapo ‘likizo’ baada ya kubanwa na kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea nchini nzima. Wakipiga stori na Mwandishi Wetu wasanii hao wenye heshima kubwa katika muziki huo walisema kwasasa wamesimamisha shughuli zote za burudani na wamejikita katika kampeni za uchaguzi ambazo ukomo […]

Read More

14 October 2020

Read more

Miaka 17 ya Prince Amigo usipime!

Written by on 14 October 2020

Msanii mwenye mbwembwe na ‘vurugu’ za kiwango cha juu katika kulishambulia jukwaa, Abubakar Suddy ‘Prince Amigo anakuja na bonge moja la ‘party’ katika kufurahia miaka 17 ya kutoa burudani. Amigo ambaye kwasasa ni Mkurugenzi wa benfi ya First Class Modern Taarab amesema kwasasa yupo katika maandalizi ya mwisho katika kuhakikisha siku hiyo mashabiki wanapata ile […]

Read More

14 October 2020

Read more

‘Narudi Mjini Tour’ yashika kazi mikoani.

Written by on 14 October 2020

‘Tuor’ ya ‘Narudi Mjini’ ya msanii wa kiwango cha juu katika muziki wa taarab nchini Mzee Yusuf nimezidi kushika kasi baada ya sasa tuor hiyo kuhamia mikoani. Taarifa toka ndani ya bendi ya Jahazi Modern Taarab imesema msanii huyo baada ya kufanya ziara katika viunga mbalimbali vya jijini la Dar kwasasa ameanza masafa marefu ya […]

Read More

14 October 2020

Read more

Wawili watumuliwa Mzee Yusuf kisa Amigo

Written by on 14 October 2020

Bifu la Amigo na Mzee Yusuf lasababisha wawili kutimuliwa Jahazi! Bifu la waimbaji ‘kiwango’ katika muziki wa taarabu nchini Abubakar Suddy ‘Prince Amigo’ na Mzee Yusuf linaonekana kuzidi kukolea lakini safairi hii ‘likila’ vichwa vya wasanii wawili ambao inadaiwa kuwa karibu na Amigo! Taarifa ambazo kipindi cha Mitikisiko ilizipata jana toka kwenye vyanzo vyake vya […]

Read More

5 October 2020

Read more

Shabiki aingia kwenye kitabu cha kumbukumbu za Guinness

Written by on 5 October 2020

Shabiki huyu wa Eminem ameivunja rekodi hii ya Guinness Nikki Paterson ana ‘tattoos’ 28 mwilini mwake zinazohusiana na rapper kutoka Detroit Marekani, Eminem. Lakini ni tattoo mpya na ya 15 ya muonekano wa karibu wa Eminem ndio imefanya Nikki avunje rekodi ya kuwa shabiki mwenye tattoo nyingi zaidi za msanii mmoja.

Read More

30 September 2020

Read more

R.Kelly aishi kwa hofu Jela

Written by on 30 September 2020

Ni mwezi sasa umepita tangu taarifa za muimbaji mkongwe kutoka Marekani R. Kelly kushambuliwa jela na mfungwa mwenzie katika kituo cha Metropolitan Correctional Center. Leo katika mahojiano rasmi na Chicago Sun Times, moja ya mawakili wa Kells, Nicole Blank Becker amefunguka kuwa kwa sasa muimbaji huyo amekuwa akiishi kwa hofu na muda mwingine kugoma kutoka […]

Read More

Load more