Search in the website:

Events

10 September 2021

Read more

SABABU ZA MWENDOKASI KUSITISHA RUTI MPYA

Written by on 10 September 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART), John Nguya ameeleza kuwa wamesitisha safari za Morocco-Kawe na Shekilango-Mwenge sababu ikiwa ni uhaba wa abiria na ubovu wa barabara.Nguya amesema kuwa usafiri utaboreshwa kutokana na mabasi 210 waliyonayo.Aidha, wameanzisha safari ya kuanzia katika kituo cha mabasi cha Magufuli kwenda Kivukoni na Kituo cha Magufuli-Gerezani. TimesFMDigital […]

Read More

10 September 2021

Read more

ATCL YAANZISHA KIBUBU KULIPIA TIKETI

Written by on 10 September 2021

Shirika la Ndege Tanzania ATCL limeanzisha mpango wa “Kibubu” ambao utamuwezesha mwananchi kulipia kidogo kidogo mpaka atakapokamilisha malipo ya tiketi yake ya ndege na kusafiri bila usumbufu. Katika mpango huo, mwananchi atatakiwa kuweka kiwango cha shilingi elfu 50,000 kwa mara ya kwanza na kiasi kinachobakia atatakiwa kulipa kidogo kidogo kwa kiwango anachokimudu mpaka safari yake […]

Read More

31 August 2021

Read more

JOB NDUGAI: UKIWA ASKOFU NDIYO UTUDANGANYE?

Written by on 31 August 2021

Kufuatia sakata la Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima na Bunge, Spika wa Bunge, Job Ndugai ametoa kauli hii: “Kuhusu Gwajima sisi hapa hatujamshitaki kama askofu, tumemshtaki kama Mbunge Gwajima, habari za uaskofu wake ni hukohuko, unaweza ukawa askofu halafu kama wenzako hawaelewi dini siyo hivyo hayo ni macho ya makengeza watu ni waumini sana. […]

Read More

31 August 2021

Read more

ASKOFU GWAJIMA, SILAA WAPIGWA STOP VIKAO VYA BUNGE

Written by on 31 August 2021

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamebariki maamuzi ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ambayo imependekeza azimio la kutaka Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima kutohudhuria mikutano miwili ya bunge mfululizo. Azimio hilo limetolewa leo Jumanne Agosti 31, 2021 bungeni na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Emmanuel Mwakasaka ambaye ni […]

Read More

31 August 2021

Read more

SPIKA NDUGAI AMTOA NJE YA BUNGE JERRY SILAA

Written by on 31 August 2021

Baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka kutoa ripoti ya kamati hiyo kuhusu hatia walizokutwa nazo wabunge Josephat Gwajima na Jerry Silaa, hatimaye Spika Job Ndugai ametoa tamko. Kwanza amemtoa bungeni Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa na kuhusu Gwajima alikuwa na haya ya kusema: “Gwajima hayupo, […]

Read More

9 August 2021

Read more

JONAS MKUDE, CHIKWENDE WATINGA KAMBINI SIMBA

Written by on 9 August 2021

Kikosi cha Simba kimeingia kabini kwa ajili ya kuanza maandalizi ya kuelekea kwenye msimu ujao wa 2021/22, ambapo kuna uwezekano wa kambi yao kuiweka nchini Morocco. Kiungo Jonas Mkude na winga Perfect Chikwende ni baadhi ya wachezaji ambao wameshawasili kambini, wawili hao walikosa mechi nyingi kuelekea mwishoni mwa msimu uliopita kutokana na sababu tofauti. Mkude […]

Read More

9 August 2021

Read more

ALIYEZALIWA NA UZITO SAWA NA APPLE ATOKA HOSPITALI

Written by on 9 August 2021

Mtoto aliyezaliwa akiwa na uzito ambao ni sawa uzito wa tufaha (apple) ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Singapore baada ya matibabu na uangalizi maalumu wa madaktari kwa muda wa mwezi 13. Mtoto huyo alizaliwa akiwa mchanga zaidi akiwa na gramu 212 tu wakati wa kuzaliwa, sasa ana uzito wa 6.3Kg na ameruhusiwa kutoka hospitali. Ingawa mtoto […]

Read More

29 July 2021

Read more

HAKUNA KUINGIA GOOGLE, FACEBOOK BILA CHANJO YA CORONA

Written by on 29 July 2021

Kampuni ya Google na Facebook yamewataka wafanyakazi wake kuchanjwa kabla ya kurejea ofisini, taarifa hiyo inakuja baada ya kupita miezi 16 ya wafanyakazi kuendesha shughuli zao wakiwa nyumbani kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa COVID-19. C.E.O wa Google, Sundar Pichai ametoa taarifa hiyo kwenye e-mail iliyotumwa kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo, ambayo inaeleza juu ya […]

Read More

29 July 2021

Read more

MABADILIKO YA TABIA NCHI YAMPELEKA NDALICHAKO UINGEREZA

Written by on 29 July 2021

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako yuko nchini Uingereza kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Washirika Wafadhili wa Elimu Duniani, Global Partnership In Education GPE. Akiwa nchini humo Julai 28, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na majadiliano na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya mabadiliko ya tabia nchi na Athari zake katika utoaji elimu, ushiriki […]

Read More

27 July 2021

Read more

KCB BANK ILIVYONOGESHA FAINALI YA SHIRIKISHO

Written by on 27 July 2021

Meneja Masoko wa KCB Bank Bi Shose Kombe akikabidhi tuzo na hundi ya Shilingi Milioni moja za Kitanzania kwa mchezaji bora wa fainali ya Azam Sports Federation Cup, Thadeo Lwanga. Hongera kwa Thadeo, Hongera na kwa Simba pia.

Read More

Load more