
Democrats waja na mpango wa kumuondoa Trump madarakani kufuatia ghasia zilizotokea
Spika wa bunge la uwakilishi nchini Marekani Nancy Pelosi, ametoa rasmi na kuwapatia wabunge mpango wa jinsi ya kumuondoa rais Donald Trump kutoka ofisini kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumshtaki. Bunge la uwakilishi litapiga kura kuhusu maamuzi yanayomtaka makamu wa rais Mike Pence kuondoa mamlaka ya urais ya bwana Trump. Iwapo hatua hiyo itafeli […]