Search in the website:

News / Page 2

27 July 2021

Read more

KCB BANK ILIVYONOGESHA FAINALI YA SHIRIKISHO

Written by on 27 July 2021

Meneja Masoko wa KCB Bank Bi Shose Kombe akikabidhi tuzo na hundi ya Shilingi Milioni moja za Kitanzania kwa mchezaji bora wa fainali ya Azam Sports Federation Cup, Thadeo Lwanga. Hongera kwa Thadeo, Hongera na kwa Simba pia.

Read More

26 July 2021

Read more

MIKOA 10 KIPAUMBELE CHANJO CORONA

Written by on 26 July 2021

Serikali imepokea msaada wa chanjo ya Corona kutoka Marekani na kueleza kuwa baada ya kujiridhisha kuwa ni salama utolewaji wake utafanyika nchi nzima lakini kwa kuanza na mikoa 10 ya kipaumbele. Mikoa hiyo ya kipaumbele ni Dar es Salaam, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Kigoma, Singida, Dodoma, Iringa na Mtwara. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, […]

Read More

15 July 2021

Read more

WYDAD YA MSUVA YABEBA UBINGWA WA MOROCCO

Written by on 15 July 2021

Winga na mshambuliaji Mtanzania Simon Msuva @smsuva27 amefanikiwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu ya Morocco akiwa na kikosi cha Wydad Casablanca. Timu hiyo imebeba taji la Morocco 2020/21 baada ya kuifunga MCO Oudja mabao 2-0. Wydad wamebeba taji hilo wakiwa na michezo mitatu mkononi, wamefikisha pointi 63 katika mechi 27.

Read More

15 July 2021

Read more

RWANDA YAIWEKA KIGALI LOCKDOWN KWA SIKU 10

Written by on 15 July 2021

Serikali ya Rwanda imetangaza ‘lockdown’ ya siku 10 katika Jiji la Kigali na wilaya nane baada ya kuongezeka visa na vifo vya raia vilivyotokana na maambukizi ya Virusi vya Corona. Raia nchini humo wametakiwa kukaa ndani kuanzia Jumamosi Julai 17 hadi Julai 26, 2021 ili kuzuia kuenea kwa maambukizi ya ugonjwa huo. Katika masharti hayo […]

Read More

15 July 2021

Read more

HII NDIYO TOFAUTI YA NIYONZIMA Vs OKWI

Written by on 15 July 2021

Haruna Niyonzima anatarajiwa kuondoka Yanga hivi karibuni, klabu hiyo ya Jangwani imeamua kumpa heshima kubwa ya kumuaga, hakika alistahili. Naamini licha ya kucheza Simba lakini bado ukiuliza shabiki yeyote wa soka kuwa Niyonzima ni shujaa wa wapi, atakwambia ni wa Yanga, ndiyo ni hivyo kwa kuwa muda mrefu aliodumu klabuni hapo ulimtengenezea ‘chemistry’ kati yake […]

Read More

15 July 2021

Read more

INJINIA: YANGA HATUWAPI WACHEZAJI WETU KASHFA YA UKICHAA

Written by on 15 July 2021

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Injinia Hersi Said ametuma ujumbe mrefu wa kumuaga kiungo wao mshambuliaji Haruna Niyonzima ambaye anaondoka klabuni hapo baada ya kumalizika kwa msimu huu wa 2020/21, lakini ametupa jiwe gizani. Injinia ametaja kuwa Yanga haina kawaida ya kuwashutumu wachezaji wake kuwa wana matatizo ya akili. Licha ya kutotaja jina lakini ikumbukwe ni […]

Read More

15 October 2020

Read more

MAANDAMANO THAILAND

Written by on 15 October 2020

Polisi nchini Thailand  imewatawanya waandamanaji waliopiga kambi nje ya ofisi ya waziri mkuu wa nchi hiyo baada ya amri mpya ya kuzuia mikusanyiko kuanza kutekelezwa nchini kote. Muda mfupi tangu kuanza kutekelezwa kwa amri hiyo, polisi wa kutuliza ghasia walisonga mbele na kuwatawanya waandamanaji ambao baadhi walijaribu kuweka vizuizi kwa kutumia chupa na makopo. Hadi […]

Read More

15 October 2020

Read more

MZOZO WA ARMENIA

Written by on 15 October 2020

Mzozo kati ya Armenia na Azerbaijan kushika kasi baada ya kila upande ukiutuhumu mwingine kwa mashambulizi mapya ndani ya jimbo lenye mzozo la Nagorno Karabakh ambalo limeshuhudia mapigano makali kwa muda wa wiki tatu. Ishara ya kutanuka kwa mzozo huo zimeonekana baada ya jeshi la Azerbaijan kuharibu mfumo wa kufyatua makombora wa Armenia katika mpaka […]

Read More

15 October 2020

Read more

HALI YA CORONA UJERUMANI

Written by on 15 October 2020

Kansela Angela Merkel na viongozi wakuu wa majimbo 16 ya Ujerumani wamekubaliana kuongeza makali kwa amri ya kuvaa barakoa pamoja na kuamuru kufungwa mapema kwa maduka ya kuuza pombe katika maeneo yenye kiwango cha juu cha maambukizi ya virusi vya corona. Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya mkutano uliofanyika jana saa chache baada ya Ujerumani kuporipoti […]

Read More

Load more