Search in the website:

Sports

Sababu iliyomfanya Ibrahimovic kuondoka Manchester United.

Written by on 28 March 2018

Baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden Zlatan Ibrahimovic kutangaza kuihama Man United na kujiunga na club ya LA Galaxy ya Marekani, wengi wanaamini kuwa Zlatan ameondoka Man United baada ya kuwa na majeraha. Ukweli umetolewa leo Dr  Freddie Fu Ho-Kueng aliyekuwa anamtibia Zlatan Ibrahimovic kuwa ameondoka Man United kufuatia Man United kutolewa katika michuano na UEFA Champions League, mashindano ambayo hajawahi kutwaa taji hilo licha ya kuvichezea vilabu vya Barcelona, Inter Milan na AC Milan. Zlatan alianza kupoteza […]

Read More

Mtoto wa George Weah aitosa Liberia, aweka rekodi Marekani.

Written by on 28 March 2018

Mwanasoka chipukizi Timothy Weah ambaye pia ni mtoto a Rais wa Liberia George Weah, ameitosa rasmi timu ya taifa ya Liberia baada ya kucheza mchezo wake wa kwanza na timu ya taifa ya Marekani. Timothy mwenye miaka 18 aliingizwa dakika ya 86 ya mchezo wa kirafiki ambapo timu yake ya Marekani iliibuka na ushindi wa […]

Read More