Search in the website:

Uncategorized / Page 2

10 November 2020

Read more

UTATA WA MATOKEO YA UCHAGUZI IVORY COAST

Written by on 10 November 2020

Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara ameshinda mhula wa tatu madarakani kwa asilimia 94.27 ya kura. Upinzani ulisusia uchaguzi huo ukisema uliandaliwa bila kuzingatia sheria. Wanasiasa wakuu wa upinzani wanakabiliwa na kesi mahakamani baada ya kususia uchaguzi wa Oktoba 31 na kuunda serikali yao. Ouattara amesema kwamba yupo tayari kwa mazungumzo na wanasiasa wa upinzani […]

Read More

5 November 2020

Read more

ETHIOPIA: BAADA YA AGIZO LA WAZIRI MKUU, MAPIGANO YAPAMBA MOTO TIGRAY

Written by on 5 November 2020

Mapigano makali yanaendelea katika eneo la Tigray kaskazini mwa Ethiopia, baada ya waziri mkuu kuanzisha oparesheni ya kijeshi kujibu kile ametaja kama mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa serikali hiyo. Hali ya wasiwasi imekuwa ikiongezeka katika eneo hilo tangu mwezi Septemba, wakati jimbo la Tigray lilipoandaa uchaguzi licha ya kuwepo amri ya serikali kuu kutofanya hivyo. […]

Read More

4 November 2020

Read more

BEI YA PETROLI YAPANDA KUANZIA LEO

Written by on 4 November 2020

Watumiaji wa magari, mashine na mitambo inayotumia petroli watalazimika kulipa zaidi kuanzia leo baada ya bei kupanda. Wakati hali ikiwa hivyo kwa watumiaji wa petroli, wale wa dizeli wana unafuu kutokana na kupungua kwa bei ya nishati hiyo. Licha ya petroli, taarifa iliyotolewa na kaimu mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji […]

Read More

4 November 2020

Read more

TRUMP AJITANGAZA MSHINDI HUKU AKISEMA ATAKWENDA MAHAKAMANI

Written by on 4 November 2020

Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kutoa kauli zenye utata kuhusu zoezi zima linaloendelea nchini humo la uhesabuji wa kura katika maeneo mbali mbali ya vituo. Trump, ameesema kwamba atakwenda kupinga matokeo Mahakamani ili kuzuia zoezi zima linaloendelea la kuhesabu kura. Trump amenukuliwa akisema,” Tumekwisha shinda uchaguzi huu, lakini kuna hujuma inafanywa dhidi ya Umma […]

Read More

4 November 2020

Read more

VUTA NIKUVUTE UCHAGUZI MKUU MAREKANI

Written by on 4 November 2020

Rais Donald Trump na mpinzani wake Joe Biden wanachuana vikali katika uchaguzi wa Rais uliofanyika jana nchini Marekani katika wakati vituo vya kupigia kura vikiendelea kufungwa na matokeo ya kwanza yakiendelea kutolewa. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Trump amepata ushindi kwenye majimbo ya Alabama, Arkansas, Indiana, Kentucky, Mississippi, Oklahoma, Tennessee na West Virginia, ambayo yote […]

Read More

26 October 2020

Read more

UPINZANI WASHINDA URAIS SEYCHELLES

Written by on 26 October 2020

Kiongozi wa Upinzani katika taifa dogo la visiwa vya Shelisheli Wavel Ramkalawan ameshinda uchaguzi wa Rais baada ya tume ya uchaguzi kutangaza matokeo rasmi jana Jumapili. Mwanasiasa huyo mwenye umri wa maiak 59 ambaye pia ni kasisi wa kanisa la Anglikana amepata asilimia 54.9 ya kura na kufanikiwa kumwaondoa madarakani Rais wa sasa Danny Faure. […]

Read More

26 October 2020

Read more

AFGHANISTAN YASEMA IMEMUUA KIONGOZI MWANDAMIZI WA AL QAEDA

Written by on 26 October 2020

Afghanistan imedai kwamba imemuua kiongozi muhimu wa kundi la al-Qaeda aliye kwenye orodha ya watu wanaotafutwa zaidi na shirika la ujasusi la Marekani FBI. Inatajwa kuwa Husam Abd al-Rauf aliuliwa wakati wa operesheni iliyofanywa na vikosi vya Afghanistan mashariki mwa nchi hiyo, hali inayoashiria uwepo wa wanamgambo hao nchini humo katika wakati wanajeshi wa Marekani […]

Read More

26 October 2020

Read more

MAREKANI YASHANGAA NCHI ZILIZO RIDHIA MARUFUKU YA SILAHA ZA NYUKLIA

Written by on 26 October 2020

Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa nchi 50 zimeidhinisha mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupiga marufuku silaha za nyuklia na kuchochea kutekelezwa kwake katika muda wa siku 90. Hatua hiyo inasifiwa na wanaharakati wa kupambana na matumizi ya nyuklia lakini inapingwa vikali na Marekani na mataifa mengine yenye ushawishi mkubwa wa nyuklia. Hadi siku ya […]

Read More

23 October 2020

Read more

MISRI KINARA WA UTEKELEZAJI WA ADHABU YA KIFO

Written by on 23 October 2020

Shirika la Haki za binadamu la Human Rights Watch limesema Misri iliwauwa wafungwa 49 katika muda wa siku 10 mwezi Oktoba, na kuzitolea mwito mamlaka nchini humo kusitisha mara moja utekelezaji wa adhabu ya kifo. Shirika hilo la haki za binadamu limesema limehesabu idadi ya watu waliouawa kati ya Oktoba 3 na 13, kwenye matangazo […]

Read More

23 October 2020

Read more

SAAD HARIRI ATEULIWA TENA UWAZIRI MKUU LEBANON

Written by on 23 October 2020

Rais wa Lebanon Michel Aoun amemteua mwanasiasa wa Kisunni Saad al-Hariri kama waziri mkuu leo, na kumtaka aunde serikali mpya kukabiliana na mzozo mbaya zaidi tangu vita vya wenyewe kwa wenyewe vya nchi hiyo kati ya 1975 na 1990. Hariri amepata uungwaji mkono wa wabunge walio wengi katika mashauriano na Aoun. Anakabiliwa na changamoto kubwa […]

Read More

Load more