Search in the website:

Archives / Page 3

Real Madrid kujenga kituo cha Soka Nigeria

Written by on 24 September 2020

Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania katika kuhakikisha inaendelea kutunza na kuendeleza vipaji imeamua kujenga kituo cha soka huko nchini Nigeria Kituo hiko ambacho kipo huko kwenye mji wa Port kimefikia 90% za ujenzi na hivi punde kitafungulia na wababe hao wa kombe la klabu bingwa barani Ulaya Facebook Comments

Read More

Real kujenga kituo cha Soka Nigeria

Written by on 24 September 2020

Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania katika kuhakikisha inaendelea kutunza na kuendeleza vipaji imeamua kujenga kituo cha soka huko nchini Nigeria Kituo hiko ambacho kipo huko kwenye mji wa Port kimefikia 90% za ujenzi na hivi punde kitafungulia na wababe hao wa kombe la klabu bingwa barani Ulaya Facebook Comments

Read More

Wakimbizi Sita wauwawa Nchini Uganda

Written by on 14 September 2020

Wakimbizi sita kutoka Sudan ya Kusini wameuwawa na wengine wanne kujeruhiwa katika kambi ya Madi Okollo, Kaskazini Mashariki mwa Uganda. Msemaji wa Polisi Josephine Angucia, amesema Polisi inawashikilia wanakijiji 13 wanaoshukiwa kwa mauaji hayo waliyotokea Ijumaa. Mauwaji hayo yalianza baada kundi moja la wakimbizi kumpiga kijana wa maeneo hayo,Bw. Ajute Rahman Yassin, aliyekuwa akilisha wanyama […]

Read More

NDOTO YA URAISI WA KANYE WEST YAZIDI KUINGIWA NA UKUNGU

Written by on 14 September 2020

Rapper Kanye West aliyekuwa na ndoto ya kuwa rapper wa kwanza kuliongoza taifa la Marekani, ameshuhudia ndoto yake hiyo ikiota mbawa kila kukicha. Hii ni baada ya mahakama ya mji wa Wisconsin kutoa hukumu yake kuwa Kanye alichelewa kurejesha fomu hivyo hapaswi kuwekwa kwenye karatasi ya kupigia kura jimboni hapo. Wiki mbili zilizopita Kanye alipaswa […]

Read More

TUZO ZA AFRIMMA 2020 KUTOLEWA KIDIGITALI

Written by on 14 September 2020

Weekend hii African Music Magazine wameachia list ya majina ya wasanii watakaoshiriki kuwania tuzo za Afrimma katika vipengele tofauti mwaka huu. Katika list hiyo bado majina makongwe kama Burna Boy, Diamond Platnumz, Davido, Master KG nk yameendelea kuwepo na majina mapya kama Oxlade, Zeynab,Zuchu na engine yakitia maguu kwa mara ya kwanza. Wasanii wa Tanzania […]

Read More

EWURA yasisitiza wateja kufuata Sheria

Written by on 14 September 2020

Mamlaka ya udhibiti wa nishati na maji EWURA mkoani Mbeya imewataka watumiaji wa nishati ya mafuta hususani petrol kufuata sheria na taratibu zilizowekwa na mamlaka hiyo pindi wanapoenda katika vituo vya kuuza mafuta. Wito huo umetolewa na Mhandisi RAPHAEL NYAMAMU ambaye ni mkaguzi mwandamizi wa nishati ya mafuta kwa nyanda za juu kusini ambapo amesema […]

Read More

Tanzania na Uganda kujenga Bomba la mafuta

Written by on 14 September 2020

Tanzania na Uganda zimesaini mkataba wa makubaliano ya ujenzi wa bomba la mafuta la urefu wa 1,445 km (898 miles). Bomba hilo litakalo toka Uganda mpaka mpaka bandari ya Tanga litagharimu kiasi cha $3.5bn (£2.7m). Kampuni ya TOTAL ya Ufaransa na Wachina wa CNOOC, ndio zinafanya kazi bega kwa bega na Serikali za Uganda and […]

Read More

Mtanzania apewa ukocha wa Timu ya taifa ya kikapu Rwanda

Written by on 5 September 2020

Mtanzania Henry Mwinuka ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa timu kadhaa nchini zikiwemo Pazi, Savio na timu ya Taifa ya Kikapu ya Tanzania, ameteuliwa na Shirikisho la mpira wa kikapu nchini Rwanda (FERWABA) kuwa Kocha Mkuu Msaidizi wa timu ya Taifa ya Rwanda inayojiandaa kushiriki mashindano ya Afrika (Afrobasket) yanayotarajiwa kufanyika nchini Rwanda 2021. Mwinuka […]

Read More

Mbwa wafunzwa kugundua wagonjwa wa COVID-19 Namibia

Written by on 5 September 2020

Chuo kikuu cha Namibia kupitia kitengo chake cha wanyama, kinafunza Mbwa kuweza kumtambua wagonjwa wa COVID-19. Mfunzo hayo yanayondeshwa na Madaktari wazoefu Wanyama na wafugaji na watunzaji wazoefu wa Mbwa. Mbwa aina ya German Shephard wana uwezo mkubwa wa kunusa harufu ya tofauti inayotoka kwa mginjwa wa COVID-19. Mpango ni kuweka Mbwa kwenye Viwanja vya […]

Read More

Kombe la AFCON nchini Egypt lapotea

Written by on 5 September 2020

Chama cha mpria wa miguu cha nchi ya Egypt(EFA), kimeanza uchunguzi juu ya upotevu wa Kikombe cha Matifa ya Afrika(AFCON) kilichipotea nchini humo. Aliyekuwa Rais wa EFA Bw. Ahmed Shobier, amesema upotevu wa kombe hilo ulibainiki wakati wa shughuli za marekebisho ya ujenzi wa jengo la Makumbusho ndogo ambayo ipo kwenye Makao makuu ya Chama […]

Read More