Search in the website:

Archives / Page 4

Mtibwa Kujigamba kumaliza nafasi za juu ligi kuu 20/21

Written by on 3 September 2020

Baada ya kunusurika na kushuka daraja kwa msimu ulioisha wa mwaka 2019/20, sasa kuelekea msimu huu Mtibwa Sugar wameonesha kujifunza na hawatakubali tena kurudia kosa hilo msimu huu. Klabu hiyo ya yenye maskani yake Mjini Morogoro huko Turiani kupitia Afisa Habari wake ndugu Thobiasi Kifaru, wamejinasibu kuwa wamejifunza mengi kutokana na makosa ya msimu ulioisha […]

Read More

Tamasha la miaka 20 ya Lady JD

Written by on 3 September 2020

Msanii kutoka katika kiwanda cha bongo flava Judith Wambura Mbibo (Lady Jaydee) ambae amekuwa na mchango mkubwa katika kuliendeleza soko la muziki nchini na nje ya mipaka jana amepiga story na Times Fm digital na kuzungumzia ujio wa Tamasha lake na kusherehekea miaka Ishirini katika Muziki wa bongo Flava.       Aidha Mwanadada uyo ambae anatikisa […]

Read More

Yanga yafanya mkutano na waandishi wa habari.

Written by on 1 September 2020

Uongozi wa Yanga S.C kupitia Idara yao ya Habari, inayoongozwa na Afisa Habari Hassani Bumbuli pamoja na Afisa Uhamasishaji Antonio Nugaz walikuwa na Kikao na waandishi wa habari leo pale makao makuu ya klabu hiyo Mitaa ya Twiga na Jangwani. Miongoni mwa mambo waliyoyazungumza ni pamoja na kutoa shukrani zao za dhati wa wale wote […]

Read More

Suarez kutimkia Juventus?

Written by on 1 September 2020

Klabu ya Juventus ipo kwenye mazungumzo ya karibu na Mshambuliaji raia wa Uruguay anaekipiga kwenye viunga vya Katalunya LUIS ALBERTO DIAZ SUAREZ ili kupata saini ya mwamba huyo kwenda kucheza Turin. Taarifa kutoka gazeti la michezo la Dello Sport zinasema Suarez alifanya mawasiliano na makamu wa rais wa Juventus, ambae ni mkongwe wa Zamani wa […]

Read More

James Rodriguez njiani kuelekea Everton.

Written by on 1 September 2020

Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid James Rodriguez huenda akajiunga rasmi na aliyekuwa Kocha wake wa Zamani wa Real Madrid, ambae kwa sasa anafundisha klabu ya Everton ya nchini Uingereza sio mwingine ni Carlo Ancelotti. Taarifa zinasema, James yupo tayari kujiunga na Everton baada ya maisha yake kunako klabu ya Real Madrid kuwa magumu, […]

Read More

Mfalme wa Suadi Arabia afukuzwa kazi.

Written by on 1 September 2020

Maafisa kadhaa wa Saudia, pamoja na watu wawili wa familia ya kifalme, wamefukuzwa kazi. Amri ya kifalme ilisema Mfalme Salman wa Saudia amemuondolea Mfalme Fahad bin Turki jukumu lake kama kamanda wa vikosi vya pamoja katika muungano unaoongozwa na Saudi Arabia nchini Yemen. Mtoto wake, Abdulaziz bin Fahad, pia aliondolewa kama naibu gavana. Amri hiyo […]

Read More

Mfalme wa Saudia, pamoja na watu wawili wa familia ya kifalme, wamefukuzwa kazi.

Written by on 1 September 2020

Maafisa kadhaa wa Saudia, pamoja na watu wawili wa familia ya kifalme, wamefukuzwa kazi. Amri ya kifalme ilisema Mfalme Salman wa Saudia amemuondolea Mfalme Fahad bin Turki jukumu lake kama kamanda wa vikosi vya pamoja katika muungano unaoongozwa na Saudi Arabia nchini Yemen. Mtoto wake, Abdulaziz bin Fahad, pia aliondolewa kama naibu gavana. Amri hiyo […]

Read More

Kenyatta aamuru majibu yote ya Covid-19 kuwekwa hadharani.

Written by on 1 September 2020

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameamuru wizara ya afya ichapishe manunuzi yote yanayohusiana na majibu ya serikali kwa Covid-19. Zabuni zitakazochapishwa ni zile zilizofanywa na Wakala wa Vifaa vya Matibabu vya nchini Kenya (Kemsa). Wabunge tayari wameanza uchunguzi wao wenyewe juu ya madai hayo. Mtendaji mkuu wa Kemsa aliwaambia Maseneta wiki iliyopita kwamba alikuwa amepokea […]

Read More

Serikali ya Uganda kuanzisha ada ya majaribio ya hiari kwa Covid-19

Written by on 1 September 2020

Uamuzi wa serikali ya Uganda kuanzisha ada ya majaribio ya hiari kwa Covid-19 inaweza kupelekea kuvuruga safari na kuanza tena kwa utalii, na pia biashara. Aidha uamuzi huo unaweza kuathiri hata kurudi kwa raia wa Uganda kutoka nje. Siku ya Jumapili jioni, serikali ilitoa agizo linalohitaji wakala kulipisha $ 65 (£ 50) kwa kila jaribio […]

Read More

Wizara ya Kilimo imekitaka Chuo cha Ushirika Moshi kufanya utafiti.

Written by on 27 August 2020

  Wizara ya Kilimo imekitaka Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kuwa na utaratibu wa kufanya utafiti kujua namna ambavyo jamii ya watanzania inanufaika na ushirika nchini ili kiboreshe mitaala yake ya kufundishia. Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya ametoa rai hiyo leo (27.08.2020) alipozungumza na Menejimenti ya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi […]

Read More