Search in the website:

Mguso Wa Jamii

Blog with Sidebar / Page 2

HENDERSON AONGEZA MKATABA

Written by on 31 August 2021

HENDERSON AONGEZA MKATABA Nahodha wa Liverpool, Jordan Henderson ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Liverpool hadi mwaka 2025. Kiungo huyo alijiunga na Liverpool mwezi Julai mwaka 2011 kwa dau la paundi milioni 18 amefanikiwa kuchukua tajioja la UEFA Champions League na moja la Ligi Kuu ya England ‘EPL’. #TimesFMDigital#TimesFmNiBaraka#HujasikiaBado#MgusoWaJamii Facebook Comments

Read More

DRAKE AJIBU MAPIGO, ALBAMU YAKE KUTOKA IJUMAA HII

Written by on 31 August 2021

Mara baada ya kushuhudia kutoka kwa albamu ya Kanye West “DONDA” jumapili ya wiki iliyopita, huenda tukashuhudia albamu nyingine kutoka mwishoni mwa wiki hii, kutoka kwa mkali wa muziki wa rap Drizzy Drake. Albamu hiyo imepewa jina la “CERTIFIED LOVER BOY” na inatarajiwa kuachiwa Ijumaa ya Septemba 03, 2021. Kupitia Insta story ya Champagne Papi […]

Read More

JONAS MKUDE, CHIKWENDE WATINGA KAMBINI SIMBA

Written by on 9 August 2021

Kikosi cha Simba kimeingia kabini kwa ajili ya kuanza maandalizi ya kuelekea kwenye msimu ujao wa 2021/22, ambapo kuna uwezekano wa kambi yao kuiweka nchini Morocco. Kiungo Jonas Mkude na winga Perfect Chikwende ni baadhi ya wachezaji ambao wameshawasili kambini, wawili hao walikosa mechi nyingi kuelekea mwishoni mwa msimu uliopita kutokana na sababu tofauti. Mkude […]

Read More

ALIYEZALIWA NA UZITO SAWA NA APPLE ATOKA HOSPITALI

Written by on 9 August 2021

Mtoto aliyezaliwa akiwa na uzito ambao ni sawa uzito wa tufaha (apple) ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Singapore baada ya matibabu na uangalizi maalumu wa madaktari kwa muda wa mwezi 13. Mtoto huyo alizaliwa akiwa mchanga zaidi akiwa na gramu 212 tu wakati wa kuzaliwa, sasa ana uzito wa 6.3Kg na ameruhusiwa kutoka hospitali. Ingawa mtoto […]

Read More

HAKUNA KUINGIA GOOGLE, FACEBOOK BILA CHANJO YA CORONA

Written by on 29 July 2021

Kampuni ya Google na Facebook yamewataka wafanyakazi wake kuchanjwa kabla ya kurejea ofisini, taarifa hiyo inakuja baada ya kupita miezi 16 ya wafanyakazi kuendesha shughuli zao wakiwa nyumbani kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa COVID-19. C.E.O wa Google, Sundar Pichai ametoa taarifa hiyo kwenye e-mail iliyotumwa kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo, ambayo inaeleza juu ya […]

Read More

MABADILIKO YA TABIA NCHI YAMPELEKA NDALICHAKO UINGEREZA

Written by on 29 July 2021

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako yuko nchini Uingereza kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Washirika Wafadhili wa Elimu Duniani, Global Partnership In Education GPE. Akiwa nchini humo Julai 28, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na majadiliano na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya mabadiliko ya tabia nchi na Athari zake katika utoaji elimu, ushiriki […]

Read More

Load more