Search in the website:

Mguso Wa Jamii

Blog with Sidebar / Page 4

MAREKANI YASHANGAA NCHI ZILIZO RIDHIA MARUFUKU YA SILAHA ZA NYUKLIA

Written by on 26 October 2020

Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa nchi 50 zimeidhinisha mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupiga marufuku silaha za nyuklia na kuchochea kutekelezwa kwake katika muda wa siku 90. Hatua hiyo inasifiwa na wanaharakati wa kupambana na matumizi ya nyuklia lakini inapingwa vikali na Marekani na mataifa mengine yenye ushawishi mkubwa wa nyuklia. Hadi siku ya […]

Read More

MISRI KINARA WA UTEKELEZAJI WA ADHABU YA KIFO

Written by on 23 October 2020

Shirika la Haki za binadamu la Human Rights Watch limesema Misri iliwauwa wafungwa 49 katika muda wa siku 10 mwezi Oktoba, na kuzitolea mwito mamlaka nchini humo kusitisha mara moja utekelezaji wa adhabu ya kifo. Shirika hilo la haki za binadamu limesema limehesabu idadi ya watu waliouawa kati ya Oktoba 3 na 13, kwenye matangazo […]

Read More

SAAD HARIRI ATEULIWA TENA UWAZIRI MKUU LEBANON

Written by on 23 October 2020

Rais wa Lebanon Michel Aoun amemteua mwanasiasa wa Kisunni Saad al-Hariri kama waziri mkuu leo, na kumtaka aunde serikali mpya kukabiliana na mzozo mbaya zaidi tangu vita vya wenyewe kwa wenyewe vya nchi hiyo kati ya 1975 na 1990. Hariri amepata uungwaji mkono wa wabunge walio wengi katika mashauriano na Aoun. Anakabiliwa na changamoto kubwa […]

Read More

POLISI NA WAANDAMANAJI WAKABILIANA NIGERIA

Written by on 23 October 2020

Risasi zimerindima na gereza moja kuchomwa moto katika machafuko mapya mjini Lagos, baada ya kupigwa risasi waandamanaji kulikosababisha hasira za kimataifa. Polisi imesema washambuliaji walivamia kituo cha kuzuia wahalifu katika kiunga cha Ikoyi, katikati mwa Lagos, katika siku ya pili ya vurugu kwenye mji huo wenye wakaazi milioni 20, kufuatia ukandamizaji wa vikosi vya usalama […]

Read More

AMNESTY: ZAIDI YA WATU 50 WAMEUAWA NIGERIA

Written by on 22 October 2020

Shirika la haki za binadamu la kimataifa, Amnesty International, limesema katika ripoti kuwa vikosi vya usalama vya Nigeria vilifyatua risasi na kuwauwa watu 12 waliokuwa wanaopinga ukatili wa polisi. Katika ripoti yake iliyotolewa kuhusu hali inavyoendelea nchini Nigeria, Amnesty imesema┬ávikosi vya usalama vya Nigeria┬ávilifyatua risasi katika mikusanyiko miwili mikubwa ya maandamano ya amani, Jumanne usiku, […]

Read More

GUINEA: VURUGU, MAANDAMANO 10 WAFARIKI DUNIA

Written by on 22 October 2020

Wananchi 8 na polisi wawili wameuawa katika mji wa Conakry, Guinea baada ya kutokea rabsha baada ya matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa kuwa Alpha Conde ameshinda Urais Watu wengi wamejeruhiwa kwenye ghasia hizo za kupinga kwa matokeo ambazo zinafanywa na vijana wa vyama vya upinzani nchini humo Rais Conde anashika madaraka hayo kwa muhula wa tatu […]

Read More

Load more