Search in the website:

Mguso Wa Jamii

Blog with Sidebar / Page 7

MAAMBUKIZI YA CORONA SASA YAFIKIA MIL.40

Written by on 20 October 2020

Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona imefikia milioni 40 duniani kote. Kwamujibu wa taarifa rasmi za Chuo Kikuu cha John Hopkins ambacho kinakusanya takwimu kutoka ulimwenguni kote, idadi hiyo ilifika rasmi hapo jana. Aidha wataalamu wamesema idadi halisi inaweza kuwa kubwa zaidi ya hiyo. Hadi sasa, zaidi ya watu milioni 1.1 wamefariki kutokana na […]

Read More

UPINZANI WAJITANGAZIA USHINDI GUINEA

Written by on 20 October 2020

Mgombea Urais wa upinzani nchini Guinea, Cellou Dalein Diallo hapo jana ametangaza kwamba ameshinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa Urais uliofanyika Oktoba 18, lakini madai yake haraka yalipingwa na tume ya uchaguzi pamoja na serikali. Hakutoa takwimu zozote lakini alisema matokeo hayo ni kwa mujibu wa chama chake, na sio hesabu rasmi ya tume […]

Read More

SUDAN KUONDOLEWA NCHI WAFADHILI UGAIDI

Written by on 20 October 2020

Rais wa Marekani Donald Trump amesema ataiondoa Sudan katika orodha ya wafadhili wa ugaidi iwapo italipa fidia ya dola milioni 335. Waziri mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok amejibu kuwa fedha hizo zimeshatolewa tayari lakini hakukuwa na majibu ya haraka kutoka Marekani. Sudan imekuwa katika orodha ya wafadhili wa ugaidi tangu mwaka 1993 wakati kiongozi wa […]

Read More

WAJIANDAA KUOMBEA UCHAGUZI

Written by on 20 October 2020

Katika kuhakikisha uchaguzi mkuu nchini unafanyika kwa utulivu na amani, Kamati ya Amani mkoani Rukwa imeandaa siku maalum kwaajili ya kuliombea taifa kufanikisha uchaguzi huo wa ngazi ya Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika tarehe 28.10.2020 Akitoa tamko hilo kwa niaba ya kamati, Kaimu Katibu Mtendaji wa kamati hiyo […]

Read More

WAANDAMANAJI WAMKOMALIA MFALME, WAZIRI MKUU.

Written by on 19 October 2020

Licha ya kutangaza kutoongeza hali ya hatari, Waziri Mkuu wa Thailand ameitisha kikao maalum cha bunge katika wakati ambapo maandamano ya kumshinikiza kujiuzulu na mageuzi ya mfumo wa kifalme yakipamba moto. Katika kile kinachoonekana kama kulegeza misimamo yake, Waziri Mkuu Prayuth Chan-ocha aliwaambia waandishi wa habari kwamba hataongeza tena maeneo ya kuwa chini ya hali […]

Read More

MEMBE: SERIKALI HAINA FEDHA!

Written by on 19 October 2020

“Watanzania tumepata tabu sana katika kipindi cha miaka hii mitano, watu hawana fedha na hawana kwasababu serikali haitumii fedha na haitumii kwasababu serikali haina fedha na hii ni kwasababu serikali imekopa zaidi kuliko binadamu yeyote duniani,” Benard Membe Facebook Comments

Read More

Load more