Search in the website:

Mguso Wa Jamii

Blog with Sidebar / Page 9

Mashauzi, Kopa ‘bize’ na uchaguzi!

Written by on 14 October 2020

Wakali wa muziki wa taarabu nchini Khadija Omari Kopa na Isha Ramadhani wamesema kwasasa wapo ‘likizo’ baada ya kubanwa na kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea nchini nzima. Wakipiga stori na Mwandishi Wetu wasanii hao wenye heshima kubwa katika muziki huo walisema kwasasa wamesimamisha shughuli zote za burudani na wamejikita katika kampeni za uchaguzi ambazo ukomo […]

Read More

Miaka 17 ya Prince Amigo usipime!

Written by on 14 October 2020

Msanii mwenye mbwembwe na ‘vurugu’ za kiwango cha juu katika kulishambulia jukwaa, Abubakar Suddy ‘Prince Amigo anakuja na bonge moja la ‘party’ katika kufurahia miaka 17 ya kutoa burudani. Amigo ambaye kwasasa ni Mkurugenzi wa benfi ya First Class Modern Taarab amesema kwasasa yupo katika maandalizi ya mwisho katika kuhakikisha siku hiyo mashabiki wanapata ile […]

Read More

Naksh Naksh Modern Taarab waja na tano kali.

Written by on 14 October 2020

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hatimaye bendi ya kitambo ya muziki wa taarabu nchini Naksh Naksh Modern Taraab ‘Bendi ya Wananchi’ imerejea kwa kishindo. Mkurugenzi wa bendi hiyo Faza Mauji aliiambia times fm wiki iliyopita kuwa kwasasa bendi hiyo imedhamiria kurudisha makali yake baada ya kitikiswa kiuchumi kutokana na tatizo la Corona. “Unajua […]

Read More

‘Narudi Mjini Tour’ yashika kazi mikoani.

Written by on 14 October 2020

‘Tuor’ ya ‘Narudi Mjini’ ya msanii wa kiwango cha juu katika muziki wa taarab nchini Mzee Yusuf nimezidi kushika kasi baada ya sasa tuor hiyo kuhamia mikoani. Taarifa toka ndani ya bendi ya Jahazi Modern Taarab imesema msanii huyo baada ya kufanya ziara katika viunga mbalimbali vya jijini la Dar kwasasa ameanza masafa marefu ya […]

Read More

Wawili watumuliwa Mzee Yusuf kisa Amigo

Written by on 14 October 2020

Bifu la Amigo na Mzee Yusuf lasababisha wawili kutimuliwa Jahazi! Bifu la waimbaji ‘kiwango’ katika muziki wa taarabu nchini Abubakar Suddy ‘Prince Amigo’ na Mzee Yusuf linaonekana kuzidi kukolea lakini safairi hii ‘likila’ vichwa vya wasanii wawili ambao inadaiwa kuwa karibu na Amigo! Taarifa ambazo kipindi cha Mitikisiko ilizipata jana toka kwenye vyanzo vyake vya […]

Read More

Mlinda mlango wa Azam atimukia Ghana

Written by on 14 October 2020

Rasmi Klabu ya Asante Kotoko ya Ghana imekamilisha usajili wa golikipa Razak Abarola kwa mkataba wa miaka mitatu Abarola alikuwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na waajiri wake wa Zamani Azam Fc Razak hivi karibuni alisimama kwenye milingoti mitatu ya Ghana the black stars kwenye mechi ya kirafiki waliyovheza na Qatar Timu ya […]

Read More

Load more