NEXT ON
20/04/2014
11:00 am - 13:00 pm
from
11:00 am - 13:00 pm

The Tanzania film industry has grown very fast for the past 5 years and the efforts are well apreciated and recognised from the bulk of dvd sells. Here is a a radio show that brings the movie to your imagination.

Latest Updates
 Muigizaji wa filamu ya maisha ya Mandela Idris Elba apata mtoto wa kiume
Muigizaji maarufu duniani na raia wa Uingereza, Idris Elba na mpenzi wake Naiyana Garth wamepata mtoto wa kiume Alhamisi ya wiki hii. Idris Elba ambaye ameigiza filamu ...
Kaka zake Paul Walker kuchukua nafasi yake kwenye Fast and Furious 7
Pichani:Paul Walker na ndugu yake Waandaji wa Fast and Furious 7 wameeleza kuwa nafasi ya marehemu Paul Walker katika filamu hiyo itachukuliwa na kaka zake Celeb na Cody. Paul ...
Ice Cube aziponda
Muigizaji mkongwe ambaye pia ni rapper, Ice Cube ameziponda tuzo za filamu za MTV za mwaka huu kwa kumpa tuzo ya ‘Best Onscreen Duo’ marehemu Paul Walker na Vin Diesel ...
Hemedy PHD na King Majuto washuti filamu mpya ya Comedy jijini Mwanza
Hemedy PHD na muigizaji mkongwe Tanzania King Majuto wameshuti filamu yao mpya ya comedy kwa mara ya kwanza jijini Mwanza. Filamu walioipa jina la ‘Kimbulu’. Hemedy ...
Lulu aendelea kulia na watu wanaotumia jina lake kuchangisha fedha, wapost video za ngono Facebook
Muigizaji wa bongo movies Elizabeth ‘Lulu’ Michael ameelendelea kuwa mmoja kati ya waathirika wa vitendo vinavyofanywa na watu wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii ...
New Video
Brand new

Anglia video mpya ya Lady Jay Dee inayotiwa Nasimama,iliyotengenezwa na mtayarishaji mpya 'Hefemi'

itazame hapa