Your Chill Spot
NEXT ON
26/01/2015
16:00 pm - 19:00 pm
from
16:00 pm - 19:00 pm

Maskani is a three hours cradle therapy that guarantees a listener an adjustment of the work related stresses acquired in daytime. Updates a listener on what went on during the working hours by engaging discussions on hot topics of the day.

Latest Updates
Waziri wa Michezo Wa Jamuhuri ya Afrika Ya Kati Atekwa Nyara
Watu wanaosadikiwa kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi la Anti-Balaka la Jamhuri ya Afrika ya Kati wamemtaka nyara Waziri wa Vijana, Michezo, Sanaa na Utamaduni wa nchi ...
Angalia Video Mpya Ya Mkongwe R.kelly - Happy Birthday
Akon Aahidi Kulipuka Zaidi Mwaka 2015
Mwanamuziki nguli barani Afrika na duniani kwa ujumla Aliaune Damala Bouga Time Bongo Puru Nacka Lu Lu Lu Badara Akon Thiam(Akon), ameahidi makubwa mwaka 2015. Akon alijikuta ...
Syriza Yashinda Uchaguzi,Ugiriki
Chama cha mrengo wa kushoto cha Syriza ambacho kimekuwa kikipinga hatua ya kubana matumizi kimeshinda katika uchaguzi uliofanyika nchini humo,japo kuwa hakuna uhakika kama kina ...
Mbunifu Wa Mavazi Sheria Ngowi Amvalisha Rais Mpya Wa Zambia
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi ameendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kupitia kipaji chake cha ubunifu wa mavazi baada ya kumvalisha Rais mpya wa Zambia, Edgar ...
New Video
Brand new

FBTv inaandaliwa na Omary Tambwe aka Lil Ommy wa 100.5 Times Fm inakupa nafasi ya kuzingalia video mbili mpya za Profesa Jay, Kipi Sijasikia iliyoongozwa na Adam Juma na Tatu Chafu iliyoongozwa na Hefemi.

Prof anasikika ndani akielezea kiu ya video hiyo kwa mashabiki wake ana anachotegemea.

Ifuate FBTV kupitia www.facebook.com/runingayetu  'Like, Watch, Share