with Dida
NEXT ON
2/11/2014
18:00 pm - 20:00 pm
from
18:00 pm - 20:00 pm

New york is a name so nice they had to name the city twice, New York and New York City. Tikisika Kipwani embraces the same content as Mitikisiko ya Pwani as a moving spotlight of the local community.

Latest Updates
Dida afunguka,  simu ndio chanzo cha kuachana na Ezden,
Dida Shaibu, mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani amefunguka Exclusively kupitia Sunrise ya 100.5 Times Fm  inayoongozwa na Fadhili Haule na kueleza chanzo cha ndoa ...
Waigizaji wa Nigeria watoa filamu mbili kuhusu Wasichana waliotekwa na Boko Haram
Wakati ambapo serikali ya Nigeria iko kwenye mtihani mkubwa wa jinsi ya kuwaokoa wasichana zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na kundi la Boko Haram, tayari waigizaji wa Nollywood ...
Hammer Q ajiondoa katika kundi la Offside Trick, msikilize hapa akieleza sababu
Kundi la Offside Trick limepata pigo, na kwa lugha nyingine tunaweza kusema limesambaratika kwa sasa baada ya Hammer Q aliyekuwa anaunda kundi hilo kujiondoa na kubaki member ...
Tanzia: Muimbaji na Mtangazaji wa Passion FM Nyawana Fundikira afariki dunia
Muimbaji na Mtangazaji wa kipindi cha taarab cha Passion FM Nyawana Fundikira amefariki dunia hii leo. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na mume wake,Nyawana amefariki baada ya ...
New Video
Brand new

FBTv inaandaliwa na Omary Tambwe aka Lil Ommy wa 100.5 Times Fm inakupa nafasi ya kuzingalia video mbili mpya za Profesa Jay, Kipi Sijasikia iliyoongozwa na Adam Juma na Tatu Chafu iliyoongozwa na Hefemi.

Prof anasikika ndani akielezea kiu ya video hiyo kwa mashabiki wake ana anachotegemea.

Ifuate FBTV kupitia www.facebook.com/runingayetu  'Like, Watch, Share