Mapopoooooo!
NEXT ON
17/04/2014
00:00 am - 03:00 am
from
00:00 am - 03:00 am

Trending Africa is a show tailored for insomniacs, late night workers and college intellects. When you are about your business like a late night chips kuku kiosk, cigarette stand one needs to hear less talk and more music.

Latest Updates
Naeto C na furaha mbili kwa mpigo mwaka huu kimuziki na kifamilia
Huu ni mwaka wa baraka kwa rapper Naeto C ambaye anatarajia kuongeza kitu kikubwa katika muziki wake na kuongeza idadi ya wanafamilia wake pia. Mkali huyo wa Ten Over Ten ...
Video Mpya: Prezzo- My Gal
Angalia video mpya ya wimbo wa Prezzo unaitwa ‘My Gal’. Huu ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye albam yake aliyoipa jina la Rapcellency itakayotoka mwaka huu.
Victoria Kimani aanzisha Reality Show
Mwimbaji wa Chocolate City, Victoria Kimani amenzisha Reality Show itakayokuwa ikionesha uhalisia wa pilikapilika za kimuziki na mambo mengi anayoyapitia, show aliyoipa jina la ...
Video Mpya: Cocoa na Chocolate- D
Hii ni video ya wimbo mpya wasanii wakubwa wa Afrika ambao unahamasisha kilimo cha kakao na Chocolate katika bara la Afrika kupitia kampeni ya shirika la One ‘One ...
 Drake ajibu diss ya Jay Z
Hivi karibuni mashabiki wa Drake na Jay Z walipata mshituko baada ya Jay Z kumdis Drake kwa kumuita Mrs. Dreezy kwenye wimbo alioshirikishwa na Jay Electrica ‘We Made ...
you might also like
New Video
Brand new

Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari inayohusu msanii mpya kutoka Mwanza ‘Barakah Da Prince’ ambaye alionekana kuzungumziwa zaidi kwenye mitandao huku baadhi ya wasanii wakubwa wa Tanzania wakimpa sapoti kwa kupost picha zinazoonesha ujio wa video ya wimbo wake unaoitwa ‘Jichunge’.

Kama ni countdown, leo ndio imefika ile siku na hii ndio video iliyokuwa inazungumziwa. Barakah yuko chini ya usimamizi wa Tetemesha Entertainment.

Wimbo umefanyika ndani ya Studio za Tetemesha kwa ushirikiano wa watayarishaji wawili, Kidbwoy na Nusder.

Video imeongozwa na Nisher wa Arusha, location ya Video ni Dar es Salaam.